24 Julai 2022

Upepo Uko Chini ya Amri ya Sulemani!

Matini ya Qur’ani: Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: {Na tukamsahilishia Suleiman upepo wa kimbunga wendao kwa amri yake kwenye ardhi tuliyo ibarikia. Na Sisi ndio tunao jua kila kitu}. [Al-Anbiyaa: 81] Naye akasema, {N...

Soma zaidi....
24 Novemba 2019

Kuzitia Rangi Nyusi

Ni ipi hukumu ya kuzitia rangi nyusi? 

Soma zaidi....
24 Februari 2019

Fitina ya Kutoswali Nyuma ya Mtu Anayefikiriwa Kuwa ni Mzushi.

Tunaingia msikitini ili tuswali swala ya jamaa, wakati mwingine huwa tunaona baadhi ya watu ambao hawaswali nyuma ya Imamu wa msikiti, na wao huwa wanasubiri mpaka Imamu huyo amalize swala yake, basi wao huwa wanasimamisha sw...

Soma zaidi....
30 Novemba 2022

Kwa sababu Uislamu Unawaruhusu Wanaume Waislamu Kuwaoa Wanawake Waliopewa Kitabu, na Hauwaruhusu Wanaume Wasio Waisalmu Kuwaoa Wanawake Waislamu?

Matni ya Shubha: Imetajwa katika Qur'ani Tukufu: {Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanaw...

Soma zaidi....
28 Agosti 2024

Ubora kati ya kisomo kirefu katika Swala ya kisimamo cha usiku na kati ya kuswali rakaa nyingi.

Ipi bora kurefusha kisomo au kuswali rakaa nyingi?

Soma zaidi....

Taarifa ya utume

Tunatoa mwongozo unaofaa, wa kisayansi ili Waislamu waweze kutekeleza imani yao katika nyakati zinazobadilika

Liyopendekezwa zaidi