Who Are We

Egypt's Dar Al-Ifta

Maono na Maadili

Ni kuwa Ofisi ya Fatwa ya Misri kama marejeo ya kimataifa kwa ajili ya kubainisha Sharia ya Kiislamu kwa kutumia njia za kisasa zaidi za mawasiliano na waislamu duniani kote.

Soma zaidi....

Jukumu letu

Ni kuibainisha Sharia ya Kiislamu katika mfumo wa Ukati na kati na kufanya kazi ya kitaasisi yenye kudhibitika kwa ajili ya kutoa Fatwa zinazoleta masilahi ya mtu mmoja mmoja na Jamii....

Soma zaidi....

Malengo yake

kueneza maadili ya ukati na kati, na kupambana na misimamo mikali pamoja na fikra za kigaidi....

Soma zaidi....

Tunatoa mwongozo unaofaa, wa kisayansi ili Waislamu waweze kutekeleza imani yao katika nyakati zinazobadilika

Our History

Historia yetu.Ofisi ya Kutoa Fatwa Nchini Misri inazingatiwa kuwa moja ya taasisi zinazoongoza katika utoaji wa Fatwa katika maeneo mbalimbali ya ulimwengu wa Kiislamu, na Ofisi ya Fatwa ya Misri iliasisiwa na kuambatanishwa na Wizara ya Sheria mwaka wa 1895, kwa agizo kutoka juu, kutoka kwa Khedewi Abas Hilmiy, na kuanza kazi kama moja ya vitengo vya Wizara ya Sheria ya Misri

Soma zaidi....

Samaaha Mufti Mkuu wa Misri

Profesa Dkt Shauqiy Abdulkarim Allaam, alichukua cheo cha Umufti wa Misri mwaka wa 2013 akiwa Mufti wa kwanza kuchaguliwa na jopo la Wanachuoni wakubwa wa Azhar, na vilevile anatumikia cheo cha Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Sekretarieti Kuu ya Mamlaka zote za kutoa Fatwa Ulimwenguni lililoanzishwa mwaka wa 2015 na kuwa Kivuli cha Chuo cha zaidi ya mamlaka mia moja za kutoa Fatwa Duniani

Soma zaidi....