23 Desemba 2018
Istilahi ya Saumu ya Wajibu
Je, kuna tofauti baina ya Saumu ya Wajibu na Saumu ya Ramadhani? Kwani nasikia baadhi ya wanazuoni wakizungumzia Saumu ya Wajibu, na siyakuti hayo katika vitabu ambavyo ninavimiliki, na kama ikiwa ipo istilahi kama hiyo...
Soma zaidi....