06 Machi 2023

Ahadi ya utii kwa mtu ambaye utambulisho wake haujulikani.

Je, inawezekana kuweka ahadi ya utii kwa mtu ambaye utambulisho wake haujulikani?

Soma zaidi....
02 Agosti 2015

Kutumia dawa ya kuzuia damu ya hedhi kwa ajili ya kufunga saumu.

Nini hukumu ya kisheria ya kutumia mwanamke dawa ambazo zinaweza kuzuia damu ya hedhi kwa muda ili aweze kutimiza saumu ya mwezi wa Ramadhani?

Soma zaidi....
23 Juni 2022

Kumsifu Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa Uanaume au Uanamke

 Je, Mwenyezi Mungu Mtukufu anasifiwa kwa Uume au Uke?

Soma zaidi....
08 Juni 2017

Kupachiza na Uhandisi wa Maumbile

Ni nini hukumu ya kutumia uhandisi wa maumbile kwa ujumla na kutumia kupachiza na hasa katika nyanja za kibinadamu, mimea, na wanyama? 

Soma zaidi....
25 Oktoba 2018

Ni Upi Usahihi wa Hadithi hii: “Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye kila kitu kinamnyenyekea kwa utukufu wake”? Na ipi hukumu ya kuitekeleza?

Ni upi usahihi wa Hadithi ya: “Anayesema: Alhamdulillahi ambaye kila kitu kinamnyenyekea kwa utukufu wake, na Alhamdulillahi ambaye kila kitu kimedhalilika kwa enzi yake, na Alhamdulillahi ambaye kila kitu kimeinama kwa...

Soma zaidi....

Taarifa ya utume

Tunatoa mwongozo unaofaa, wa kisayansi ili Waislamu waweze kutekeleza imani yao katika nyakati zinazobadilika

Liyopendekezwa zaidi