Ubora kati ya kisomo kirefu katika ...

Egypt's Dar Al-Ifta

Ubora kati ya kisomo kirefu katika Swala ya kisimamo cha usiku na kati ya kuswali rakaa nyingi.

Question

Ipi bora kurefusha kisomo au kuswali rakaa nyingi?

Answer

Baadhi ya Wanachuoni wanaona kuwa kisomo kirefu katika Swala za usiku kwa maana ya Swala ya kisimamo cha usiku ni bora zaidi kuliko kuswali rakaa nyingi, na baadhi ya wengine wanaona kuswali rakaa nyingi ni bora zaidi, lakini jambo ambalo tunalitolea nasaha ni mtu kudumu na utaratibu ambao kwake anaona una nafuu zaidi na kumpa utulivu wa moyo wake harakati zake utulivu wake na ukamilifu wa unyenyekevu wake, ni sawa sawa katika kurefusha kisomo au kuongeza idadi ya rakaa, pamoja na kulazimika kuchukuwa hatua ambazo mpangilio maalumu uliopo wa kuswali jamaa Msikitini ili kuzuia usumbufu katika kutekeleza ibada Msikitini, na kwa vile mfumo huo unakubaliana na makusudio ya Ibada.

Share this:

Related Fatwas