Fatwa
Huduma za Fatwa
Fatwa ni nini?
Katibu wa Fatwa anabainisha hukumu za Sharia ya Kiislamu kwa kutegemea Dalili za Kisharia, na anafanya hivyo kwa kujibu maswali ya wenye kutaka Fatwa katika Mambo mbalimbali maalumu na ya woteTarehe ya Fatwa
Neno "Fatwa" linaashiria maoni yanayogunduliwa na wanachuoni na Watoa Fatwa kwa kuangalia hukumu za Mwenyezi Mungu Mtukufu na mabadiliko ya hali za watu na uhalisia wao. Na inafaa kuashiria kwamba Historia ya fatwa inagawanyika katika vipindi vitatu tofauti; cha kwanza ni cha Wahyi (ufunuo) kisha cha Wanachuoni wa Fiqhi wa awali, ambapo wao walianza kujitahidi katika Fiqhi, na cha tatu ni cha Maimamu wakuu...
Soma zaidi....