Mmoja wa ndugu zangu alifariki katika mwezi wa Ramadhani akiwa amefunga. Wakati wa kumzika, mmoja wa watu aliwaambia wanawe kwa nia ya kuwafariji: “Hakika mwenye kufa katika mwezi wa Ramadhani ataingia Peponi bila ya hisabu (kuhesabiwa),” lakini mmoja wa waliohudhuria alikanusha kauli hiyo, kwa madai kuwa kauli hiyo ni kinyume na Sunna; kwa sababu hakuna matini iliyopokewa kwayo. Je, hukumu ya Sharia kuhusu hilo ni ipi?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kutembelea (kuzuru) makaburi siku ya Idi? Na ni ipi hukumu ya mwanamke mwenye hedhi kwenda makaburini?
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kisharia kuhusu kuzuru makaburi ya Ahlu Al-Bayt (familia ya Mtume) na watu wema? Na ipi hukumu ya anayedai kuwa kuzuru (makaburi) ni uzushi (bid'ah) na ushirikina?
Soma zaidi....
Ni hukumu gani katika kmwuombea dua marehemu kwa kauli: "Ee Mwenyezi Mungu, mjaalie makazi yake kuwa Peponi"? Watu wengine hudai kwamba neno "makazi" (MATHWA) ni maalumu kwa Jehanamu na adhabu, na kwamba maneno "sehemu pa kupumzika (Mustaqar) " na "mafikio (Al- Maawaa)" ni maalumu kwa Pepo na Neema.
Soma zaidi....
Ni ipi hukumu ya kuaga maiti na ni mahitaji gani yanayopendekezwa na adabu za jumla kwa hilo?
Soma zaidi....
Arabic
Englsh
French
Deutsch
Urdu
Pashto
Hausa
