Aliyemwahaidi Mwenyezi Mungu kisha ...

Egypt's Dar Al-Ifta

Aliyemwahaidi Mwenyezi Mungu kisha akaenda kinyume na ahadi yake

Question

Ni ipi hukumu ya mtu aliyemwahaidi Mwenyezi Mungu jambo Kisha akaenda kinyume na ahadi yake?

Answer

Ni wajibu kwa mwanadamu kulazimiana na alichokiahdi kwa Mwenyezi Mungu miongoni mwa kumtii na kuacha Maasi, akivunja ahadi basi ni Sunna kwake kutoa kafara ya Yamini

Share this:

Related Fatwas