Sifa za mtaala wa Al-Azhar

Egypt's Dar Al-Ifta

Sifa za mtaala wa Al-Azhar

Question

Je, ni sifa gani za mtaala wa Al-Azhar? Je, mtaala huo ni kwa ajili ya Al-Azhar Al-Sharif pekee yake?

Answer

Mtaala wa Al-Azhar ndio mtaala wa Ahlul-Sunnah wal Jama`ah katika zama zote, na kwa kuwa Al-Azhar ilikuwa moja ya taasisi kongwe zaidi za Ahlul-Sunnah, na kwa jukumu lake kubwa la kihistoria, na kwa nafasi yake ya utangulizi, mtaala ulikuwa unahusishwa nayo, na mtaala huu umefupishwa katika mambo makuu matatu; Ya kwanza: Kuamini kwa imani ya Ahlul-Sunnah wal-Jama'ah, ambayo ni imani ya Ash'airah, Maturidiyah, na Wanazuoni wa Hanbali. Pili: Kushikamana na moja ya madhehebu manne ya kifiqhi ambayo yamefuatwa tangu zama za watangulizia wema. Madhehebu haya ni: Hanafi, Maliki, Shafi na Hanbali, Tatu: Usufi kama njia ya kujielimisha na kufika kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kila idara ya kielimu au taasisi inayofuata mtaala huu katika kufundisha, kujifunza na ulinganiaji kwa ajili yaMwenyezi Mungu kufuatana na mtaala wa Al-Azhar wa kisunni.

Share this:

Related Fatwas