Njia za kueneza misimamo mikali.

Egypt's Dar Al-Ifta

Njia za kueneza misimamo mikali.

Question

Njia zipi zinazotegemewa na vikundi vya misimamo mikali kueneza fikra zao na vitendo vyao vya kigaidi?

Answer

Vikundi vya misimamo mikali hutegemea njia nyingi hujaribu kupitia njia hizo kupanua na kueneza harakati zao za kihalifu, kwa upande wa sababu kuu nao ni upande wa itikadi ya kifikra, vikundi vya msimamo mkali vinajaribu kuipa umuhimu njia nyingine isiyopungua hatari yake na uenezaji wa fikra ya itikadi ya msimamo mkali, nayo ni njia ya mtandano wa mahusiano, kwani mtandano wa mahusiano hulinda msaada wa kifedha na nguvu kazi kubwa kwa hivyo vikundi, na wakati mwingine inakuwa ndio namba ngumu zaidi katika hatari za vikundi vya kigaidi.

Kumekuwa na staili nyingi zinazotengeneza mitandao ya mahusiano ambayo hunufaika nayo vikundi vya kigaidi, na mara nyingi huwa kwenye hiyo mitandao ibara ya vikundi na mikusanyiko ya uhalifu, kwa kawaida hilo huongeza ugumu na changamoto za mikakati ya kupambana na makundi haya, ambapo muungano kati ya vikundi vya kigaidi na kati ya vikundi vyingine vya uhalifu hulinda vyanzo vya ufadhili mkubwa, na wakati mwingine hurahisisha kulinda mafunzo ya kijeshi, na katika vikundi muhimu vya mitando hiyo ni:

Vikundi vya biashara za madawa ya kulevya, vikundi vya utoroshaji athari na kuziuza, vikundi vya uhamiaji kinyume na sheria, na walinganiaji wa fikra kali wameweza kufikia malengo mbali mbali kupitia vikundi hivyo ikiwa ni pamoja na kujitangaza na kuwapa mafunzo ya kijeshi, na jaribio la kuwasiliana na vijana ambao wanataka kujiunga na hivyo vikundi, mahusiano hayo yamechangia kujiunga na kusafirisha idadi kubwa kutoka maeneo mbalimbali ya dunia ili kwenda kupigana katika maeneo yao yaliyoainishwa hapo kabla.

Share this:

Related Fatwas