Mauzo ya awamu
Question
Je, inaruhusiwa kuuza kwa awamu ikiwa bidhaa hazipatikani kwa muuzaji?
Answer
Muamala huu kwa hakika ni “Uuzaji wa Murabaha” uliobainishwa na Imamu Al-Shafi katika kitabu chake “Al-Ummu”; maelezo yake ni: “Mtu anaonesha mtu mwingine bidhaa hiyo na kusema: Nunua hii nami nitakufanyia faida hivi na hivi. Uuzaji wa Murabaha kwa namna hii unaruhusiwa kwa mujibu wa Sharia ya Kiislamu na hakuna ubaya wowote.
Arabic
Englsh
French
Deutsch
Urdu
Pashto
Hausa
