Kudhibiti hasira na tiba yake.

Egypt's Dar Al-Ifta

Kudhibiti hasira na tiba yake.

Question

Ni namna gani Muislamu atadhibiti hasira zake?

Answer

Sharia ya Kiislamu imetoa muongozo juu ya hasira na kukataza, isipokuwa ikiwa katika jambo la haki, na kumuongoza mwenye kutahiniwa kujitenga na hasira pamoja na sababu zake, na amtake msaada Mwenyezi Mungu Mtukufu na kumtegemea katika mambo yake yote, na achukuwe hatua zitakazo msaidia yeye kuondoa hasira, kama vile kujikinga kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shetani aliyelaaniwa, na kunyamaza, kutawadha pale anapokuwa na hasira, na ajipambe na tabia ya kusamehe, kutochukuwa maamuzi ya haraka, na adhibiti hasira zake ili aweze kudhibiti nafsi yake, na afahamu kuwa maneno yake ni yenye kuhesabiwa hata akiwa katika wakati wa hasira, na kama atapata njia nyingine halali itakayomsaidia basi hakuna ubaya kwa hilo, mwanzo na mwisho amuombe Mwenyezi Mungu Mtukufu amkinge na shari zitakazo mdhuru.

Share this:

Related Fatwas