Ni ipi hukumu ya kusema: "Naomba kwa cheo Cha Mtume S.A.W."
Kuomba dua kwa cheo cha Mtume S.A.W. hakufungamani na zama fulani katika zama, hilo ni halali katika uhai wa Mtume na baada ya kifo chake Mtume S.A.W.