Kulinda nafsi

Egypt's Dar Al-Ifta

Kulinda nafsi

Question

Ni namna gani Uislamu umelingania kulinda nafsi ya mwanadamu na usalama wake?

Answer

Uislamu umelingania kulinda nafsi ya mwanadamu, na ukafanya jambo la kulinda nafsi ya mwanadamu ni katika makusudio makuu ambayo Sharia imekuja ili kuyafikia, na makusudio haya kupanda kutoka nafasi ya haki na kufikia kwenye wajibu, Sharia Tukufu haikuishia kupitisha haki ya mwanadamu ya uhai na usalama wa nafsi yake bali imemlazimisha kuchukuwa hatua ambazo zitalinda uhai wake na afya ya mwili wake pamoja na kuzuia maudhi na madhara, uwazi wa wito wa Uislamu wa kumlinda mwanadamu ni mingi, miongoni mwayo: Ni amri ya kufanya dawa na kinga ya maradhi, pia umekataza kuuwa nafsi pasi ya haki, na kuleta adhabu kali kwa mwenye kufanya kosa hilo, pia kukataza kusababisha kudhuru nafsi yake au ya mwingine, kutoka kwa Abi Said Al-Khudry R.A amesema: Mtume S.A.W amesema:  “Hakuna kudhuru wala kujidhuru”. Imepokewa Al-Hakim.

Share this:

Related Fatwas