Kulinda nchi.

Egypt's Dar Al-Ifta

Kulinda nchi.

Question

Ni ipi sura ya wito wa Uislamu kwenye kulinda nchi?

Answer

Sharia Tukufu imetoa wito kwenye usalama wa nchi, miongoni mwa sura za huo ni jambo la kupenda nchi kulifanya ni jambo la kimaumbile na hisia zitokanazo na mwanadamu kuwa na hisia za uzalendo wa nchi na mapenzi ya sehemu aliyokulia na kuwa ni sehemu ya kumbukizi zinazoungana na wale aliokulia nao miongoni mwa marafiki, hilo limeonekana pembezoni mwa matendo ya Mtume S.A.W ambapo kupenda nchi ilikuwa ni katika tabia zake, kutoka kwa Anas Ibn Maliki R.A amesema:

“Mtume S.A.W alikuwa pindi anaporudi safari huangalia maeneo ya mji na kumfunga ngamia wake”. Imepokewa Imamu Bukhary.

Share this:

Related Fatwas