Kauli kali.

Egypt's Dar Al-Ifta

Kauli kali.

Question

Ni ipi kauli kali? Na upi uhusiano kati yake na aina zingine za msimamo mikali

Answer

kauli kali huzingatiwa ni hatua ya pili katika hatua za misimamo mikali, katika hilo humuondoa mwenye msimamo mkali na kufuata fikra kali na kumpeleka kwenye kuziangalia na kuzilingania kwa njia ya kauli, hivyo mtu mwenye msimamo  mkali hutekeleza tabia za kauli na wala si za vitendo.

Hakuna shaka kuwa kauli kali ni maandalizi ya vitendo vikali na vitendo vya ugaidi wa aina zake mbalimbali, na uhusiano kati ya sura ya kwanza “Fikra kali” na kati ya sura ya mwisho “Vitendo vya matumizi ya nguvu” hutofautiana kwa sehemu kubwa uhusiano kati ya kauli kali na vitendo vya matumizi ya nguvu, sura ya tofauti kati yake ni uwezekano wa kuboreka na kuhama kati ya sura mbili na hatua mbili, kwani uwezekano wa kuhama mtu wa fikra kali na kufanya vitendo vya matumizi ya nguvu ni uwezekano mdogo sana kati ya watu wa kauli kali na vitendo vya matumizi ya nguvu.

Huenda hilo linarejea kuwa kauli ni moja ya hatua za vitendo, au moja ya aina zake, na mwenye msimamo mkali pindi anapoanza kutoka fikra zake kali kwa njia ya mitazamo na ulinganiaji na mazungumzo, ukweli anakuwa ameanza kitendo katika kutekeleza msimamo mkali, hata kama bado hajafika kwenye vitendo vya matumizi ya nguvu. 

Share this:

Related Fatwas