Fikra kali.

Egypt's Dar Al-Ifta

Fikra kali.

Question

Ni kitu gani anakilenga mwenye fikra kali katika kueneza fikra yake kwa watu?

Answer

Mwenye fikra kali hukusudia hueneza fikra zake kwa watu ili kufikia malengo mengi, yaliyo muhimu:

Kuziba akili za jamii – hasa vijana – na fikra zisizochanganyika na fikra asili ambazo zinakubaliana na misingi thabiti ya jamii katika mambo mbalimbali ya kitamaduni yanayokubalika.

Kuleta shaka katika fikra sahihi na vitendo ambavyo vina marejeo thabiti, jambo linalosababisha kutokea mkanganyika kwa uelewa, kisha kufanyika vitendo vya uharibifu.

Kudhoofisha umoja wa jamii na kupasua mshikamano wake pamoja na kueneza vikundi na mielekeo yenye misimamo tofauti.

Kuchafua sura ya Uislamu na Waislamu na kuwasifu kwa sifa za upotovu, ili kushusha umuhimu wa Uislamu na Waislamu.

Kuleta uadui mbaya kwa nafsi au kwa wengine au kwa jamii na kuleta sura ya za kero kubwa ili kulazimisha watu wa ngazi za maamuzi katika jamii kutekeleza ukinaifu wao uliowekwa kwao.

Kupata kizazi chenye akili ndogo isiyotenganisha kati ya haki na batili, na kupinga historia na urithi.

Kupata kizazi chenye kudharau kuheshimu haki za mtu binafsi na haki za wengine.

Kupinga ukati na kati, na hilo kwa kuwa na fikra kali zaidi katika dini, kwa maana ya ubaguzi wa kivikundi na fikra kali kwa viongozi wake pamoja na kukufurisha  kwa maasi.

Kubadilisha maana sahihi, kwa mfano kujitoa muhanga kunazingatiwa ni jihadi, na kuuwa nafsi kinyume na haki ni ushahidi.

Share this:

Related Fatwas