Aina za fikra kali

Egypt's Dar Al-Ifta

Aina za fikra kali

Question

Ni upi msimamo mkali na namna gani utaufahamu?

Answer

Msimamo mkali ni kilele cha pyramidi ya msimamo mkali, na katika hatua ya msimamo mkali hufasirika hizo fikra na mitazamo pamoja na Fatwa kuwa vitendo vikali hufanywa na watu wa misimamo  mikali ili kufikia malengo yao.

Msimamo mkali ni matokeo ya kazi endelevu zisizo simama au kutulia kutokana na mabadiliko,  ni muhimu sana kufahamu kuwa hatua hiyo si lazima kwa ajili ya hatua nyingine, bali ni hatua inayoonesha kiwango cha juu zaidi cha matumizi ya  nguvu, mtu anaweza kufikia moja kwa moja bila ya tangulizi, na anaweza kufika ikiwa ni matokeo ya kazi utulivu wa mafunzo ya kijeshi, anayofanyiwa huyo mtu ili kurudisha muundo wa fikra zake na taswira zake kuelekea kwenye kadhia muhimu ambayo imejikita mitazamo mikali.

 Kwa hivyo msimamo mikali sio zao la imani fulani bali si zao la imani kabisa, kwa sababu matendo ya msimamo mkali huletwa wakati wa upingaji wa Fatwa, au matwaka ya kisiasa, au hata matendo ya fujo yanayosukumwa na chuki isiyosimama kwenye fikra au imani, vile vile misimamo mikali inayotokana na mwenendo wa kiimani usiolazimu imani maalumu, kwani imani yeyote ina uwezo wa kutengeneza vitendo vya msimamo mkali, kisha vitendo vya msimamo mkali ni kundi la kipekee pana zaidi ya ugaidi, kwa sababu pia hukusanya fikra kali ambazo hazisimami kwa fikra au imani.

Share this:

Related Fatwas