Usafi na tohara

Egypt's Dar Al-Ifta

Usafi na tohara

Question

Je, ni yapi madhihirisho ya maslahi ya Uislamu kwa usafi, na nini fadhila ya hilo?

Answer

Uislamu ulihimiza usafi na tohara, na ukazingatia kuwa ni kiini cha ujumbe wake, na ni sehemu ya imani, na ukawaamuru wafuasi wake wazingatie sababu zao katika nyanja mbalimbali. Hii ni kwa sababu usafi una taathira kubwa katika kuitakasa nafsi na kumuwezesha mtu kubeba mizigo ya maisha. Miongoni mwa dhihirisho la maslahi ya Uislamu ni kuwa unahimiza usafi wa majumba na sehemu za umma na utakaso wake kutika taka na uchafu, na pia usafi wa nguo na uzuri wa muonekano, vile vile usafi wa mdomo na meno kutokana na mabaki yanayodhuru afya ya binadamu ... na madhihirisho mengine.

Share this:

Related Fatwas