Eda ya mja mzito aliyefiliwa na mum...

Egypt's Dar Al-Ifta

Eda ya mja mzito aliyefiliwa na mume wake.

Question

Ni ipi eda ya mke aliyefiliwa na mume wake naye akiwa mja mzito?

Answer

Eda ya mja mzito inaisha kwa kujifungua kwake tu, ni sawa sawa kutengana kumetokana na kifo au sababu zengine, Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema:

{Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo jifungua} Attwalaq: 4.

Aya hii inazungumzia kwa ujumla wake akiwa amefiliwa na mume wake au sababu zengine.

Mwenyezi Mungu Anajua zaidi.

Share this:

Related Fatwas