Tohara/Hitani kwa Wanawake
Question
Ni ipi hukumu ya tohara/hitani kwa wanawake?
Answer
Vitendo vinavyofahamika kama “Hitani/ tohara kwa Wanawake” ni haramu Kisharia na haramu kikanuni, wala haifai kusaidia vitendo hivyo kwa hali yeyote ile hii ni kutokana na kuthibiti madhara yake mabaya kiafya, kisaikolojia na kijamii, kisha ni haramu kwa daktari au mtu mwingine yoyote kuvifanya au kusaidia.
Mwenyezi Mungu Mtukufu Anajua Zaidi.