Ni ipi hukumu ya wanawake kumzika mwanamke mwenzao?
Hakuna ubaya kisharia kwa wanawake kumzika mwanamke Muislamu, kama kukikosekana wanaume wakumzika.