Usawa kati ya mwanamume na mwanamke...

Egypt's Dar Al-Ifta

Usawa kati ya mwanamume na mwanamke

Question

Je, Uislamu umeweka usawa kati ya mwanamume na mwanamke?

Answer

Uhusiano kati ya mwanamume na mwanamke ni uhusiano wa kusaidiana, na kinachonekana Katika hali ya kutokuwepo usawa kati yao katika baadhi ya mambo hakutokani na kuwa mmoja wa ni bora kuliko mwingine kwa misingi ya jinsia, bali ni sababu na misingi iliyowekwa ikiongozwa na kuwapambanua katika wadhifa na umaalumu; jambo linalofanya uadilifu usifikiwe kama kutakuwa na usawa kati yao. Sharia ya kiislamu inapompa mwanamume na kumnyima mwanamke, basi hilo haliwi kwa misingi ya kuwa mwanamume ni bora kuliko mwanamke, bali ni kwakuwa ni wajibu unaompasa mwanamume na hili halimaanishi kuwa mwanaume ni bora kuliko mwanamke Wala halimaanishi kupunguza haki za mwanamke.

Share this:

Related Fatwas