Usafi katika maeneo ya Umma

Egypt's Dar Al-Ifta

Usafi katika maeneo ya Umma

Question

Uislamu umetuhimizaje juu ya usafi wa maeneo ya Umma.

Answer

Usafi ni iwe kwa watu wote au kwa mtu binafsi, unahitajika Kisharia, na mwanadamu anapaswa kuufanyia kazi katika kila kitu, ambapo usafi ni katika mambo muhimu katika kulinda afya ambayo ni katika neema kubwa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa mwanadamu, hivyo Wanachuoni wameeleza umuhimu wa usafi wa majumbani pamoja na maeneo ya Umma, ambapo usafi wake unahitajika zaidi kuliko kuupuuza, na kuupuuza usafi huo kunapelekea madhara ya kiafaya kwa umma.

Share this:

Related Fatwas