Question
Ni ipi hukumu ya funga ya mwenye kusitasita kuikata nia ya Funga ya Sunna?
Answer
Ni kweli inawezekana Mtu aliyefunga kuendelea na funga muda wa kuwa hajala Wala hajanywa chochote katika vifunguzi, hakumtoi kwenye funga kwa kusitasita tu katika kuikatisha funga.