Kulinda watoto kutokana na hatari y...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kulinda watoto kutokana na hatari ya matumizi ya madawa ya kulevya Kuwalinda watoto kutokana na hatari ya Uraibu

Question

Ni namna gani tunaweza kuwalinda watoto kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Answer

Kulinda vijana na chipukizi kuingia kwenye (uratibu) matumizi ya madawa ya kulevya ni jukumu la pamoja, kwa upande wa familia hasa wazazi wawili wanasehemu kubwa ya jukumu hilo, lenyewe ni jukumu la kimalezi kwa hatua ya kwanza, na kusaidiwa na miongozo bora pamoja na ushauri wa watalamu, vile vile inapaswa kuwakoa wale walioingia kwenye ulevi wa hayo madawa kwa kuishi nao kwa upole, na kufanya haraka kuwatibu kwa watalamu, pamoja na kujaribu kuimarisha kujiamini wao wenyewe na kuwasaidia kimaana na kupata ushauri wa watalamu kwenya hilo.

Share this:

Related Fatwas