Kukidhi mahitaji ya watu masikini k...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kukidhi mahitaji ya watu masikini kutokana na mali za zaka

Question

Ni nini hukumu ya kukidhi mahitaji ya watu masikini ya nyama na kuku kutokana na mali za zaka?

Answer

Taasisi za hisani zinaruhusiwa kutinga sehemu ya mali za zaka wanazozikusanya na kuitumia kununua nyama na kuku kwa watu masikini endapo mahitaji yao ni hivi, ambapo taasisi hizo ni mfano wa wakili wa masikini katika kununua wanayoyahitaji, hivyo mahitaji ya watu masikini yakitiliwa maanani kwa mujibu wa vipaumbile vyake na mpangilio ya mahitaji yake ni nini muhimu na ni nini muhimu zaidi, kwa hiyo hakuna shida kuikata sehemu ya Zaka kwa ajili ya kununua bidhaa na vitu kama hivi kadiri kila familia inavyohitaji, hukumu hii inazingatiwa ni sura mojawapo ya sura za kutolea Zaka kwa vitu si pesa wakati ambapo maslahi ya masikini yatakuwa wazi kwa kutambua mahitaji yake na kuyakidhi, pia, kufanya hivyo ni dalili ya kujali kusudio na lengo la kutolea zaka ambalo ni kukidhi mahitaji ya mafukara na masikini.

Share this:

Related Fatwas