Uzembe kazini

Egypt's Dar Al-Ifta

Uzembe kazini

Question

Ipi hukumu ya kuzembea katika kazi yake au majukumu yake?

Answer

Afisa au mfanya kazi ni mwenye kuaminiwa kwenye kazi ambayo amepewa na kuwakilishwa nayo, kutoitekeleza kwa sura inayohitajika pamoja na kupewa mshahara kwa kazi hiyo hilo ni jambo haramu Kisharia, kuzembea kazini na kuifanya kwa mapungufu kunazingatiwa ni kutokuwa muaminifu kwenye amana, ni miongoni mwa kughushi na udanganyifu, huko ni kwenda kinyume kunakopelekea kufikishwa kwenye mamlaka za kiutawala, yenyewe husimamia nidhamu kwa mwenye kuleta uzembe kazini.

Share this:

Related Fatwas