Wajibu wa baba uangalizi wa afya za...

Egypt's Dar Al-Ifta

Wajibu wa baba uangalizi wa afya za watoto wao.

Question

Wajibu wa baba uangalizi wa afya za watoto wao.

Answer

Kusimamia watoto kiafya ni jambo la lazima kwa wakina baba Kisharia, au kwa wasimamizi wa malezi yao, hivyo haifai kupuuza kwa hali yeyote ile, miongoni mwa usimamizi wa lazima ni kufuatilia zoezi la chanjo ambayo hutolewa na pande husika, ambapo imeelezwa kuwa kufuata mifumo ya kinga za magonjwa ni lazima kwa mwenye kuhofia kupatwa na maradhi, lengo ni kulinda uhai wao, na kulinda miili yao kutokana na maradhi, jamii inapaswa kubeba matokeo ya maradhi na athari za tiba zake pamoja na gharama za matibabu yake.

Share this:

Related Fatwas