Kumwombea marehemu dua

Egypt's Dar Al-Ifta

Kumwombea marehemu dua

Question

Je, inajuzu kumwombea marehemu dua kwa maneno “Ewe Mola, yajaalie mahali pake pa kupumzikia Peponi”?

Answer

Kumwombea marehemu dua kwa maneno: “Ee Mwenyezi Mungu, ijaalie mahali pake pa kupumzikia Peponi” inajuzu kwa mujibu wa sheria. Kueleza neno “Mahali pa kupumzikia” kunahusishwa na Pepo katika dua, na hakuna ubaya nayo, wala kwa mtazamo ya sheria wala kwa upande wa lugha.

Kauli ya wale wanaodai kuwa usemi “Mahali pa kupumzikia” au “pahali pa kutulia ” ndio sahihi kutumika na Pepo na sio “Makaazi” haijalishi. Hili si sahihi na linapingana na matumizi ya Qur’ani Tukufu ya maneno hayo.

Share this:

Related Fatwas