Sanda imechafuliwa kwa kuvujiwa dam...

Egypt's Dar Al-Ifta

Sanda imechafuliwa kwa kuvujiwa damu

Question

Sanda imechafuliwa kwa kuvujiwa damu

Answer

Hakuna kafara ya kiapo cha “Ghamuws”  anachosema mtu uongo kwa makusudi isipokuwa toba, majuto na kuomba msamaha.

Madhehebu ya wanavyuoni walio wengi ni kuwa hakuna kafara ya kiapo cha uwongo ambacho mtu amekikusudia uongo isipokuwa toba, majuto na kuomba msamaha. Kwa mujibu wa alivyosema Ibn Masoud, (RA): “Tulikuwa tukizingatia madhambi ambayo hayana kfara: ni kiapo cha uwongo” (Imepokelewa kutoka kwa Al-Hakim).

Madhehebu ya Shafi ilishikilia kwamba kiapo cha uwongo lazima kiwe na kafara kwa kiapo kilichotajwa katika kauli yake Mola Mtukufu: “Mwenyezi Mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, lakini atakushikeni kwa mnavyo apa kweli kweli kwa makusudio. Basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa. Asiye pata hayo, basi afunge siku tatu. Hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa. Na hifadhini yamini zenu. Namna hivyo Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake ili mpate kushukuru..” [Al-Maidah: 89], pamoja na majuto na toba ya kweli kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na kuwarudishia haki kwa wamiliki halali.

Share this:

Related Fatwas