Kufidia funga za Ramadhani
Question
Ni ipi hukumu ya kufidia Ramadhani kutokana na hedhi?
Answer
Mwanamke ni lazima afidie kile alichokosa kutokana na kufunga Ramadhani kutokana na hedhi, na hakuna pingamizi katika kutenganisha. Kwa mujibu wa kauli yake Mtume, (S.A.W) kuhusu kufunga Ramadhani: “Akitaka atenganishe na akitaka aunganishe.” Imepokelewa kutoka kwa Ad-Daraqutni.