Hukumu ya kusafisha na kutumia upya...

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya kusafisha na kutumia upya taka

Question

Je, inajuzu kusafisha na kutengeneza upya taka?

Answer

Kusafisha na kutengeneza upya taka na kuigeuza kutoka hali ya kutofaa kutumika iwe inafaa kutumika kwa manufaa na faida ya wanadamu pamoja na kubadilika kwa hali yake na kuisafisha kutokana na uchafu kupitia mchakato huu ni jambo linaloruhusiwa katika sharia, hivyo inajuzu.

Share this:

Related Fatwas