Kutumia dawa za kupoteza fahamu kwa matibabu
Question
Ni ipi hukumu ya kuitumia dawa za kupoteza fahamu kwa lengo la matibabu?
Answer
Hakujuzu kisharia kutumia dawa za kuondosha fahamu kwa lengo la matibabu, isipokuwa ikibainika kuwa matibabu ya dawa hizo za kuondosha fahamu kwa usimamizi wa daktari mwenye vibali, na wajibu mgonjwa asitumie zaidi ya dozi alioandikiwa.