Kutoa zaka ili kununua dawa za mati...

Egypt's Dar Al-Ifta

Kutoa zaka ili kununua dawa za matibabu

Question

Ni ipi hukumu ya kutoa zaka ili kuwanunulia dawa masikini?

Answer

Kunajuzu kutoa zaka ili kuwatibu wagonjwa masikini na kuwanunulia dawa, kuwatosheleza masikini na mafukara katika mavazi, chakula, makazi na maisha, elimu, matibabu na mambo mengine ya maisha yao kunapasa kuwa kipaumbele cha kwanza; ili kufikia hekima kuu ya zaka ambayo ambayo Mtume S.A.W. ameilezea kwa kauli yake: “inachukuliwa kutoka kwa matajiri wao na kupewa masikini wao” hadithi hii ni Muttafaqun alyhi; na hapa yanaingia matibabu kwa wasio na uwezo kulipia huduma za matibabu.

Share this:

Related Fatwas