Kusoma Bismillah kwa sauti

Egypt's Dar Al-Ifta

Kusoma Bismillah kwa sauti

Question

Ni ipi hukumu ya kusoma Bismillah kwa sauti katika Swala?

Answer

Kusoma Bismillah kwa sauti ni miongoni mwa masuala ambayo wametofautiana Wanazuoni wa Fiqhi, baadhi ya Wanazuoni wanaona ni wajibu kusoma kwa sauti, huku wengine wanaona kusoma kwa Siri ni bora zaidi, suala hili ni miongoni mwa vipambo vya Swala, tofauti kati ya Wanazuoni zipo na hili ni Pana.

Kunapasa kwa uma kufuata kile ambacho kinatumiwa na misikiti ya miji yao; ili kuondoa mgawanyiko na mpasuko na kutowashugulisha watu na mambo ya kitanzu wakaacha kushughulika na wajibu.

Share this:

Related Fatwas