Kufuga mbwa kwa haja
Question
Ni ipi hukumu ya kufuga mbwa kwa haja?
Answer
Hakuna kizuizi kisharia kwa Mtu aliyebaleghe kufuga mbwa ambaye anamhitaji katika maisha yake na kazi zake mtu, kwa Sharti la kutowatisha watu au kuwakera, ama kuhusu najisi ya mbwa na nafasi yake basi Fatwa katika suala hili ni ya Madhehebu ya Imamu Malik yanayoelezea kuwa mbwa ni twahara