Kusambaza elimu ya maiti

Egypt's Dar Al-Ifta

Kusambaza elimu ya maiti

Question

Sharia imependekeza vipi kusambaza elimu ya maiti na imetahadharisha vipi kuificha?

Answer

Miongoni mwa sababu kubwa za mrithi kumtendea wema mrithi wake, ni kufanya juhudi za kusambaza elimu yake si kuificha, turathi ngapi za elimu zimepotea kutokana na ubakhili wa warithi kuficha elimu ya waliyorithi! Na kuzembea kwao kusambaza na kuiweka maeneo ambayo ingekuwa ni sababu ya watu kunufaika na elimu hiyo, Lau wangeieneza na kuruhusu watu kunufaika nayo ingelikuwa ni sababu ya kuendelea kukumbukwa mwenye elimu yake na kupata thawabu nyingi baada ya kifo chake.

Share this:

Related Fatwas