Biasha za kieletroniki
Question
Ni ipi hukumu ya biashara katika masoko ya kieletronik?
Answer
Kufanya miamala ya kuuza na kununua katika masoko ya kieletroniki yajulikanayo kama (Drop Shining) kunajuzu kisharia; Kwa kuwa miamala hii inaingia katika jumla ya uhalali wa kuuza na biashara kwa ili kufikia mahitaji ya watu, lakini kwa sharti la kutokuwepo udanganyifu na madhara na kujulikana kitu kinachouzwa, pamoja na kuchunga Sheri na kanuni zilizowekwa Katika aina hii ya miamala