Kutoa Zaka.
Question
Je inafaa kutoa Zaka kwa awamu ndani ya kipindi cha mwaka?
Answer
Masuala yanafaa Kisharia kutoa Zaka kwa awamu ndani ya kipindi cha mwaka mzima baada ya mali kutimiza mwaka na kufikia kiwango cha kutolewa zaka kwa watu anaowafahamu miongoni mwa wanaostahiki ambao wanahitaji ili kukidhi mahitaji yao kwa kila mwezi, pamoja na kuzingatia kutofika mwaka mwengine isipokuwa awe ameshaitoa yote.