Kusoma Suratul Ssajda na Suratul Al-Insanu katika swala ya alfajiri ya siku ya Ijumaa
Question
Ipi hukumu ya kudumu kusoma Suratul Sajda na Al-Insanu katika swala ya alfajiri siku ya Ijumaa?
Answer
Kudumu kusoma Suratul Sajda na Suratul Al-Insanu katika swala ya alfajiri ya siku ya Ijumaa ni katika Sunna ambayo Mtume S.A.W alikuwa akiifanya na kudumu nayo.
Mwenyezi Mungu Anajua zaidi.