Misimamo mikali ya kidini.

Egypt's Dar Al-Ifta

Misimamo mikali ya kidini.

Question

Ni ipi athari ya misimamo mikali ya kidini kwa jamii?

Answer

Msimimamo mikali ya kidini kwa aina zake zote ni uharibifu wa mambo ya dini na maisha kwa ujumla, kwani ni kitendo kinacholeta chuki na fitina nchini, kwani Umma huu na Sharia zake umeitwa ni Umma wa kati na kati kama Mwenyezi Mungu Mtukufu alivyosema:

{Na vivyo hivyo tumekufanyeni muwe Umma wa wasitani, ili muwe mashahidi juu ya watu, na Mtume awe ni shahidi juu yenu} Al-Baqarah: 143.

Sharia ikafanya siasa kali za kidini ni aina ya kujitoa kwenye ngazi za ubinadamu na kurudi kwenye hali ya matamanio ya kuchukiza.

Share this:

Related Fatwas