Unyanyasaji wa kijinsia

Egypt's Dar Al-Ifta

Unyanyasaji wa kijinsia

Question

Vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia upi msimamo wa Sharia ya Kiislamu? 

Answer

Sharia Takatifu ya Kiislamu imetahadharisha kutenda yaliyoharamu na kushinikiza adhabu kwa wahusika, na kuashiria juu ya ukubwa wa yaliyoharamu na ukubwa wa uzito wake mbele ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, hii ni kutokana na kufungamana na haki za waja, hivyo Uislamu umetangaza vita kwa mwenye kutenda mfano wa uhalifu huu – unyanyasaji wa kijinsia – na kuahidi kwa mtendaji wake adhabu kali duniani na Akhera, ukawajibisha kwa viongozi na wasimamizi wa mambo ya nchi kupambana na matukio haya kwa nguvu kubwa, hivyo sheria ya jinai imeeleza juu ya uharamu wa vitendo hivi, na kuweka adhabu ya kutisha kwa kila mwenye kujiingiza kwenye vitendo hivi vya aibu.

Share this:

Related Fatwas