iba ya ulevi

Egypt's Dar Al-Ifta

iba ya ulevi

Question

Ipi hukumu ya kuwatumia wenye uzoefu katika kutibu ulevi?

Answer

Kuwatumia watu wenye uzoefu na wenye weledi katika kutibu matatizo ya ulevi ni jambo linalohitajika Kisharia, mwanadamu mwenye akili anapaswa kutoliweka jambo la afya yake mikononi mwa watu wasio na weledi miongoni mwa wale wanaojifanya kuwa wanajua kila kitu, kuharibu maisha ya watu na kuleta madhara kwenye tiba zao afya zao na miili yao ni moja ya aina ya uharibifu duniani na kwenda kinyume na shime kubwa ya Uislamu ya kulinda maisha ya mwanadamu na kuharamisha kuifanyia uadui, kutoa dawa kumpa mgonjwa ni kazi za daktari, wala haifai kwa asiyekuwa na weledi kuthubutu kutoa dawa kwa mgonjwa.

Share this:

Related Fatwas