Kuuza dhahabu

Egypt's Dar Al-Ifta

Kuuza dhahabu

Question

Ipi hukumu ya ziada ambayo sonara anaichukuwa wakati wa kubadilisha dhahabu ya zamani?

Answer

Hakuna ubaya Kisharia kulipa kwa sababu ya kazi iliyofanywa na sonara wakati wa kubadilisha dhahabu ya zamani na mpya, kutokana na kufahamika kuwa dhahabu na madini ya fedha yaliyochomwa yametoka kuwa kwake thamani na kuondoka sababu ambayo inalazimisha kwenye madini hayo thamani ya mfano kufikia muda pamoja na kukabidhiana wakati wa kubadilishana, hivyo zikawa bidhaa miongoni mwa bidhaa na kufanyiwa majaribio kutokana na kutengenezwa.

Share this:

Related Fatwas