Sharia ilihimiza umoja wa neno

Egypt's Dar Al-Ifta

Sharia ilihimiza umoja wa neno

Question

Sharia ilihimizaje umoja wa neno?

Answer

Sharia ilihimiza umoja wa neno, na Mtume,(S.A.W), alisisitiza umuhimu wa maelewano na kuepuka mifarakano. Ili kuvutia msaada na mafanikio ya Mwenyezi Mungu; Amesema: “Mkono wa Mwenyezi Mungu uko pamoja na Jamaa.”  [Hadithi hii imepokelewa kutoka kwa Atarmidhi kutoka kwa Ibn Abbas (R.A)]. 

Mtume (S.A.W), aliweka wazi kwamba umoja ni bora kuliko utengano, na kwamba muungano ni bora kuliko kutofautiana. Akasema: “Mkiona tofauti, basi ni lazima kushikamana na walio wengi zaidi.” Imepokelewa kutoka kwa Ibn Majah.

Share this:

Related Fatwas