Ukwepaji wa kodi na ushuru

Egypt's Dar Al-Ifta

Ukwepaji wa kodi na ushuru

Question

Ni ipi hukumu ya Sharia kuhusu ukwepaji wa kulipa kozdi na ushuru?

Answer

Ukwepaji wa kulipa kodi na ushuru haujuzu kisharia, wala haijuzu kulipa rushwa kwa ajili ya kuzipunguza kodi, pia mtumishi wa umma anayehusika kuainisha kiasi cha kodi inayotakiwa kulipwa anapaswa kuchunga hali halisi katika kuainisha kiasi cha kodi kulingana na kanuni na sheria husika bila ya kuingiza kwa maoni yake mwenyewe. 

Share this:

Related Fatwas