Hukumu ya kwenda Hija badala ya ali...

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya kwenda Hija badala ya aliyefariki kwa mujibu wa wasia

Question

Je, ombi la mama aliyefariki kwenda Hija badala ya mwanawe aliyefariki kabla yake ni wasia ambao ni wajibu kutekelezwa?

Answer

Kama mama aliyefariki hakutoa wasia ulio wazi kuwa anausia sehemu ya urithi wake ukatwe kwa ajili ya kwenda Hija badala ya mwanawe aliyefariki kabla yake, basi hakuna mtu yeyote aliye na haki ya kutekeleza ibada ya Hija au kuchukua gharama zake kutoka katika urithi wa huyu mama kabla ya kuugawa kwa madai ya kutekeleza matakwa ya yule mama marehemu.

Share this:

Related Fatwas