Mwanamke kuwaswalisha wanawake wenzake
Question
Ni ipi hukumu ya mwanamke kuwaswalisha wanawake wenzake?
Answer
Kunasihi kwa mwanamke kuwaswalisha wanawake wenzake, na anapowaswalisha anasimama katikati yao Wala asiwatangulie, na kama mwanamke atamswalisha mwanamke mmoja basi atasamama huyo mwanamke upaande wake wa Kulia kama anaposwali mwanamume na wanaume wenzake.