Zaka ya pesa inayohusiana na kampuni.
Question
Zaka ya pesa inayohusiana na kampuni ya kibiashara na namna ya kuitoa?
Answer
Yeyote anayefanya biashara lazima kuzithaminisha bidhaa, zikiwa zipo, pamoja na pesa na faida aliyonayo, na apunguze kutoka katika haya yote madeni na matumizi yake, na alipe Zaka kwa kile kinachobaki baada ya hapo kwa kiwango cha 2.5%.
 Arabic
 Englsh
 French
 Deutsch
 Urdu
 Pashto
 Hausa
